Genesis 21:2-4

2 aSara akapata mimba, akamzalia Ibrahimu mwana katika uzee wake, majira yale ya Mungu aliomwahidi. 3 bIbrahimu akamwita Isaka yule mwana ambaye Sara alimzalia. 4 cIsaka alipokuwa na umri wa siku nane, Ibrahimu akamtahiri, kama Mungu alivyomwamuru.
Copyright information for SwhKC